Exodus 6:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimtokea Abrahamu, Isaka na Yakobo nikijulikana kama Mungu Mwenye Nguvu, ingawa kwa jina langu, Mwenyezi-Mungu, sikuwajulisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo kama Mungu Mwenyezi, ingawa kwa Jina langu, Yehova, sikujitambulisha kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimtokea Abrahamu, Isaka na Yakobo nikijulikana kama Mungu Mwenye Nguvu, ingawa kwa jina langu, Mwenyezi-Mungu, sikuwajulisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi, ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilimtokea Ibrahimu, Isaka na Yakobo kama Mwenyezi Mungu, ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nilimtokea Abrahamu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimtokea Abrahamu, Isaka na Yakobo nikijulikana kama Mungu Mwenye Nguvu, ingawa kwa jina langu, Mwenyezi-Mungu, sikuwajulisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilimtokea Aburahamu na Isaka na Yakobo, wanijue kuwa Mungu Mwenyezi, lakini Jina langu la Bwana sikulijulisha kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilimutokea Abrahamu, Isaka, na Yakobo nikijulikana kama Mungu Mwenye Nguvu, ingawa sikuwajulisha jina langu, Yawe.