Exodus 6:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Mimi sina ufasaha wa kuongea; Farao atanisikilizaje?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Musa akamwambia Mwenyezi Mungu, “Kwa kuwa mimi huzungumza kwa kigugumizi, Farao atanisikiliza mimi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akanena mbele ya Bwana, Mimi ni mtu mwenye midomo isiyo tohara, Farao atanisikizaje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Mimi sina ufasaha wa kuongea; Farao atanisikilizaje?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mose akamwambia BWANA, “Kwa kuwa mimi huzungumza kwa kigugumizi, Farao atanisikiliza mimi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Musa akamwambia bwana, “Kwa kuwa mimi huzungumza kwa kigugumizi, Farao atanisikiliza mimi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akanena mbele za BWANA, Mimi ni mtu mwenye midomo isiyo tohara, Farao atanisikizaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Mimi sina ufasaha wa kuongea; Farao atanisikilizaje?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena ndipo hapo, Mose alipomwambia Bwana waziwazi: Tazama, mimi ni mwenye midomo isiyofunguliwa kusema vema; kwa hiyo Farao atanisikiaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akanena mbele ya BWANA, Mimi ni mtu mwenye midomo isiyo tohara, Farao atanisikizaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Musa akamwambia Yawe: “Mimi sina ujuzi wa kuongea. Mufalme wa Misri atanisikiliza namna gani?”