Exodus 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena nilifanya agano nao kwamba nitawapa nchi ya Kanaani ambako waliishi kama wageni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia niliweka agano langu nao kuwapa nchi ya Kanaani, ambako waliishi kama wageni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nimelithibitisha agano langu nao, la kuwapa nchi ya Kanaani; nchi ya kukaa kwao hali ya ugeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena nilifanya agano nao kwamba nitawapa nchi ya Kanaani ambako waliishi kama wageni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia niliweka Agano langu nao kuwapa nchi ya Kanaani, ambako waliishi kama wageni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia niliweka Agano langu nao kuwapa nchi ya Kanaani, ambako waliishi kama wageni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nimelithibitisha agano langu nao, la kuwapa nchi ya Kanaani; nchi ya waliyokaa kama wageni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena nilifanya agano nao kwamba nitawapa nchi ya Kanaani ambako waliishi kama wageni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo Agano langu, nililolifanya nao, nitalisimamisha, lile la kuwapa nchi ya Kanaani, ndiyo nchi, waliyoikaa ugeni ni kwani walikuwa wageni huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nimelithibitisha agano langu nao, la kuwapa nchi ya Kanaani; nchi ya kukaa kwao hali ya ugeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena nilifanya agano nao kwamba nitawapa inchi ya Kanana ambako waliishi kama wageni.