Exodus 6:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawafanyeni kuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu. Nyinyi mtatambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa katika nira za Wamisri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawachukua ninyi kuwa watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa chini ya nira ya Wamisri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwatoaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawafanyeni kuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu. Nyinyi mtatambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa katika nira za Wamisri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawatwaa mwe watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi BWANA Mungu wenu, niliyewatoa chini ya kongwa la Wamisri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawatwaa mwe watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi bwana Mwenyezi Mungu wenu, niliyewatoa chini ya kongwa la Wamisri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwakomboaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawafanyeni kuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu. Nyinyi mtatambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa katika nira za Wamisri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitawachukua ninyi, mwe ukoo wangu, nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtatambua, ya kuwa mimi Bwana ni Mungu wenu aliyewatoa Misri na kuwatua mizigo yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwatoaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawafanya kuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu. Ninyi mutatambua kwamba mimi ni Yawe, Mungu wenu, niliyewatoa katika nira za Wamisri.