Exodus 7:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mmoja akaitupa fimbo yake chini, ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Aroni ikazimeza fimbo zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja alitupa fimbo yake chini, nayo ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Haruni ikazimeza zile fimbo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mmoja akaitupa fimbo yake chini, ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Aroni ikazimeza fimbo zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja alitupa fimbo yake chini, nayo ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Aroni ikazimeza zile fimbo zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja alitupa fimbo yake chini, nayo ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Haruni ikazimeza zile fimbo zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mmoja akaitupa fimbo yake chini, ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Aroni ikazimeza fimbo zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakazitupa fimbo zao chini, kila mtu yake, nazo zikawa nyoka, lakini fimbo yake Haroni ikazimeza fimbo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mumoja akatupa fimbo yake chini, ikakuwa nyoka. Lakini fimbo ya Haruni ikameza fimbo zao.