Exodus 7:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samaki waliomo mtoni Nili watakufa, mto wote utanuka vibaya, na Wamisri watachukia kabisa kunywa maji yake.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samaki walio katika Mto Naili watakufa, nao mto utanuka vibaya; Wamisri hawataweza kunywa maji yake.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao samaki walio mtoni watakufa, na huo mto utatoa uvundo; nao Wamisri watachukizwa kuyanywa maji ya mtoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samaki waliomo mtoni Nili watakufa, mto wote utanuka vibaya, na Wamisri watachukia kabisa kunywa maji yake.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samaki waliomo katika Mto Nile watakufa, nao mto utanuka vibaya, Wamisri hawataweza kunywa hayo maji yake.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samaki waliomo katika Mto Naili watakufa, nao mto utanuka vibaya, Wamisri hawataweza kunywa hayo maji yake.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao samaki walio mtoni watakufa, na huo mto utatoa uvundo; nao Wamisri watachukizwa kuyanywa maji ya mtoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samaki waliomo mtoni Nili watakufa, mto wote utanuka vibaya, na Wamisri watachukia kabisa kunywa maji yake.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao samaki waliomo humu mtoni watakufa, nao mto utanuka vibaya, nao Wamisri watachukizwa kuyanywa maji ya mtoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao samaki walio mtoni watakufa, na huo mto utatoa uvundo; nao Wamisri watachukizwa kuyanywa maji ya mtoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samaki wanaokuwa ndani ya muto Nili watakufa, muto wote utanuka vibaya, na Wamisri watachukia kabisa kunywa maji yake.’ ”