Exodus 7:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utamwambia ndugu yako Aroni mambo yote nitakayokujulisha, naye Aroni nduguyo, atamwambia Farao awaache Waisraeli watoke nchini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utasema kila kitu nitakachokuagiza, naye Haruni ndugu yako atamwambia Farao awaachie Waisraeli watoke katika nchi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utanena hayo yote nikuagizayo; na ndugu yako Haruni atanena na Farao, ili awape wana wa Israeli ruhusa watoke nchi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utamwambia ndugu yako Aroni mambo yote nitakayokujulisha, naye Aroni nduguyo, atamwambia Farao awaache Waisraeli watoke nchini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utasema kila kitu nitakachokuagiza, naye Aroni ndugu yako atamwambia Farao awaachie Waisraeli watoke katika nchi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utasema kila kitu nitakachokuagiza, naye Haruni ndugu yako atamwambia Farao awaachie Waisraeli watoke katika nchi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utanena hayo yote nikuagizayo; na ndugu yako Haruni atanena na Farao, ili awape wana wa Israeli ruhusa watoke nchi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utamwambia ndugu yako Aroni mambo yote nitakayokujulisha, naye Aroni nduguyo, atamwambia Farao awaache Waisraeli watoke nchini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe na uyaseme yote, nitakayokuagiza, naye kaka yako Haroni na amwambie Farao, awape wana wa Isiraeli ruhusa kutoka katika nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utanena hayo yote nikuagizayo; na ndugu yako Haruni atanena na Farao, ili awape wana wa Israeli ruhusa watoke nchi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utamwambia ndugu yako Haruni mambo yote nitakayokujulisha. Naye Haruni ndugu yako, atamwambia mufalme wa Misri awaache Waisraeli watoke katika inchi yake.