Exodus 7:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Farao akarudi nyumbani kwake, na hata haya yaliyotokea hakuyajali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, Farao akageuka, akaenda kwenye jumba lake la kifalme, wala hakulitia hili moyoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akazunguka na kuingia nyumbani mwake, wala hata hilo hakuliweka moyoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Farao akarudi nyumbani kwake, na hata haya yaliyotokea hakuyajali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, akageuka akaenda kwenye jumba lake la kifalme, wala hakulitia hili moyoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, Farao akageuka, akaenda kwenye jumba lake la kifalme, wala hakulitia hili moyoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akazunguka na kuingia nyumbani mwake, wala hata hilo hakuliweka moyoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Farao akarudi nyumbani kwake, na hata haya yaliyotokea hakuyajali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Farao akageuka, akaingia nyumbani mwake, pasipo kuviweka moyoni mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akazunguka na kuingia nyumbani mwake, wala hata hilo hakuliweka moyoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mufalme wa Misri akarudi katika nyumba yake na hata yale yaliyotokea hakuyajali.