Exodus 7:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamisri wote wakachimbachimba kandokando ya mto Nili ili wapate maji ya kunywa, kwani hawakuweza kunywa maji ya mto huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao Wamisri wote wakachimba kandokando ya Mto Naili kupata maji ya kunywa, kwa sababu hawakuweza kunywa maji ya mto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamisri wote wakachimba-chimba kando ya mto ili wapate maji ya kunywa; maana, hawakuweza kuyanywa yale maji ya mtoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamisri wote wakachimbachimba kandokando ya mto Nili ili wapate maji ya kunywa, kwani hawakuweza kunywa maji ya mto huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao Wamisri wote wakachimba kandokando ya Mto Nile kupata maji ya kunywa, kwa sababu hawakuweza kunywa maji ya mto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao Wamisri wote wakachimba kandokando ya Mto Naili kupata maji ya kunywa, kwa sababu hawakuweza kunywa maji ya mto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamisri wote wakachimbachimba kando ya mto ili wapate maji ya kunywa; maana, hawakuweza kuyanywa yale maji ya mtoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamisri wote wakachimbachimba kandokando ya mto Nili ili wapate maji ya kunywa, kwani hawakuweza kunywa maji ya mto huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamisri wote wakachimba maji pande zote za mtoni, wapate ya kunywa, kwani maji ya mtoni hawakuweza kuyanywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamisri wote wakachimba-chimba kando ya mto ili wapate maji ya kunywa; maana, hawakuweza kuyanywa yale maji ya mtoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamisri wote wakachimbachimba kandokando ya muto Nili kusudi wapate maji ya kunywa, maana hawakuweza kunywa maji ya muto ule.