Exodus 7:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pigo hilo la mto Nili lilidumu siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zilipita siku saba baada ya Mwenyezi Mungu kuyapiga maji ya Mto Naili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zikatimia siku saba, baada ya Bwana kuupiga ule mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pigo hilo la mto Nili lilidumu siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zilipita siku saba baada ya BWANA kuyapiga maji ya Mto Nile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zilipita siku saba baada ya bwana kuyapiga maji ya Mto Naili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zikatimia siku saba, baada ya BWANA kuupiga ule mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pigo hilo la mto Nili lilidumu siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikawa hivyo siku saba zote, Bwana alipokwisha kuupiga huo mto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zikatimia siku saba, baada ya BWANA kuupiga ule mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pigo hilo la muto Nili lilidumu siku saba.