Exodus 7:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose na Aroni wakafanya hivyo; naam, walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa na Haruni wakafanya sawasawa na jinsi Mwenyezi Mungu alivyowaamuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa na Haruni wakafanya vivyo; kama Bwana alivyowaambia, ndivyo walivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose na Aroni wakafanya hivyo; naam, walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose na Aroni wakafanya sawasawa kama vile BWANA alivyowaagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa na Haruni wakafanya sawasawa kama vile bwana alivyowaagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa na Haruni wakafanya vivyo hivyo; kama BWANA alivyowaambia, ndivyo walivyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose na Aroni wakafanya hivyo; naam, walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose na Haroni wakafanya, kama Bwana alivyowaagiza; hivyo ndivyo, walivyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa na Haruni wakafanya vivyo; kama BWANA alivyowaambia, ndivyo walivyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa na Haruni wakafanya hivyo. Hakika, walifanya kama vile Yawe alivyowaamuru.