Exodus 7:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Farao atakapowaambieni mthibitishe jambo hilo kwa kutenda miujiza, wewe utamwambia Aroni aichukue fimbo yake, aitupe mbele ya Farao, nayo itakuwa nyoka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Farao atakapowaambia, ‘Fanyeni muujiza,’ basi mwambie Haruni, ‘Chukua fimbo yako na uitupe chini mbele ya Farao,’ nayo fimbo itakuwa nyoka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao atakaponena nanyi, na kuwaambia, Jifanyieni miujiza; ndipo utakapomwambia Haruni, Shika fimbo yako, uibwage chini mbele ya Farao, ili iwe nyoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Farao atakapowaambieni mthibitishe jambo hilo kwa kutenda miujiza, wewe utamwambia Aroni aichukue fimbo yake, aitupe mbele ya Farao, nayo itakuwa nyoka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Farao atakapowaambia, ‘Fanyeni mwujiza,’ basi mwambie Aroni, ‘Chukua fimbo yako na uitupe chini mbele ya Farao,’ nayo fimbo itakuwa nyoka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Farao atakapowaambia, ‘Fanyeni muujiza,’ basi mwambie Haruni, ‘Chukua fimbo yako na uitupe chini mbele ya Farao,’ nayo fimbo itakuwa nyoka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao atakaponena nanyi, na kuwaambia, Jifanyieni miujiza; ndipo utakapomwambia Haruni, Shika fimbo yako, uibwage chini mbele ya Farao, ili iwe nyoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Farao atakapowaambieni mthibitishe jambo hilo kwa kutenda miujiza, wewe utamwambia Aroni aichukue fimbo yake, aitupe mbele ya Farao, nayo itakuwa nyoka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farao atakapowaambia: Fanyeni kioja, niwajue, mwambie Haroni: Ikamate fimbo yako, uitupe chini mbele ya Farao, iwe nyoka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao atakaponena nanyi, na kuwaambia, Jifanyieni miujiza; ndipo utakapomwambia Haruni, Shika fimbo yako, uibwage chini mbele ya Farao, ili iwe nyoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mufalme wa Misri atakapowaambia muhakikishe jambo lile kwa kutenda miujiza, wewe utamwambia Haruni atwae fimbo yake, aitupe mbele ya mufalme, nayo itakuwa nyoka.”