Exodus 8:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vyura wataondoka kwako, na kwenye nyumba zenu, kwa maofisa wako na kwa watu wako; watabaki tu katika mto Nili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vyura wataondoka kwako na katika nyumba zako, kwa maafisa wako na kwa watu wako, ila watabakia katika Mto Naili tu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao vyura wataondoka kutoka kwako wewe na nyumba zako, na watumishi wako, na watu wako; watasalia mtoni tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vyura wataondoka kwako, na kwenye nyumba zenu, kwa maofisa wako na kwa watu wako; watabaki tu katika mto Nili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vyura wataondoka kwako na katika nyumba zako, kwa maafisa wako na kwa watu wako, ila watabakia katika Mto Nile tu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vyura wataondoka kwako na katika nyumba zako, kwa maafisa wako na kwa watu wako, ila watabakia katika Mto Naili tu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao vyura wataondoka kutoka kwako wewe na nyumba zako, na watumishi wako, na watu wako; watasalia mtoni tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vyura wataondoka kwako, na kwenye nyumba zenu, kwa maofisa wako na kwa watu wako; watabaki tu katika mto Nili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa vyura wataondoka kwako na manyumbani mwako, namo mwao watumishi wako, namo mwao watu wako, wasalie mtoni tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao vyura wataondoka kutoka kwako wewe na nyumba zako, na watumishi wako, na watu wako; watasalia mtoni tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme wa Misri alipoona kwamba inchi imepata utulivu, akakuwa na moyo mugumu tena, wala hakusikiliza Musa na Haruni, kama vile Yawe alivyokuwa amesema.