Exodus 8:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose na Aroni wakaondoka nyumbani kwa Farao, na Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu amwondolee Farao uvamizi wa vyura hao aliomletea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Musa na Haruni kuondoka kwa Farao, Musa akamlilia Mwenyezi Mungu kuhusu vyura aliokuwa amewaleta kwa Farao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia Bwana katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose na Aroni wakaondoka nyumbani kwa Farao, na Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu amwondolee Farao uvamizi wa vyura hao aliomletea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Mose na Aroni kuondoka kwa Farao, Mose akamlilia BWANA kuhusu vyura aliokuwa amewaleta kwa Farao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Musa na Haruni kuondoka kwa Farao, Musa akamlilia bwana kuhusu vyura aliokuwa amewaleta kwa Farao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose na Aroni wakaondoka nyumbani kwa Farao, na Mose akamlilia Mwenyezi-Mungu amwondolee Farao uvamizi wa vyura hao aliomletea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose na Haroni wakatoka kwake Farao, naye Mose akamlilia Bwana kwa ajili ya hao vyura, aliompatia Farao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Yawe akamwambia Musa: “Umwambie Haruni ainue fimbo yake na kupiga mavumbi, nayo yatageuka kuwa chawa katika inchi yote ya Misri.”