Exodus 8:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wakawakusanya vyura hao marundo marundo; nchi nzima ikanuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakayakusanya malundo, nchi nzima ikanuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawakusanya chungu chungu; na nchi ikatoa uvundo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wakawakusanya vyura hao marundo marundo; nchi nzima ikanuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakayakusanya malundo, nchi nzima ikanuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakayakusanya malundo, nchi nzima ikanuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawakusanya marundo marundo; na nchi ikatoa uvundo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wakawakusanya vyura hao marundo marundo; nchi nzima ikanuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakawakusanya machungu machungu, nchi ikanuka vibaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawakusanya chungu chungu; na nchi ikatoa uvundo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachawi wa Misri, kwa uchawi wao, wakajaribu kuyageuza mavumbi yakuwe chawa, lakini hawakuweza. Chawa wale wakaenea juu ya watu na nyama.