Exodus 8:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitaipiga nchi yako yote kwa kuiletea vyura.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukikataa kuwaruhusu kuondoka, basi nitaipiga nchi yako yote kwa kuwaletea vyura.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama ukikataa kuwapa ruhusa, tazama, nitaipiga mipaka yako yote kwa kuleta vyura;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitaipiga nchi yako yote kwa kuiletea vyura.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukikataa kuwaruhusu kuondoka, basi nitaipiga nchi yako yote kwa kuwaletea vyura.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukikataa kuwaruhusu kuondoka, basi nitaipiga nchi yako yote kwa kuwaletea vyura.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama ukikataa kuwapa ruhusa, tazama, nitaipiga mipaka yako yote kwa kuleta vyura;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ukikataa kuwaacha waondoke, basi, nitaipiga nchi yako yote kwa kuiletea vyura.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe utakapokataa kuwapa ruhusa kwenda zao, utaniona mimi, nikiipiga mipaka yako yote na kuleta vyura,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama ukikataa kuwapa ruhusa, tazama, nitaipiga mipaka yako yote kwa kuleta vyura;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Haruni akainua fimbo yake juu ya maji yote. Vyura wakatokea na kufunika inchi nzima ya Misri.