Exodus 8:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawakinga watu wangu na mambo yatakayowapata watu wako. Mambo hayo yatafanyika kesho.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaweka tofauti kati ya watu wangu na watu wenu. Ishara hii ya ajabu itatokea kesho.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitatia mpaka kati ya watu wangu na watu wako; ishara hiyo italetwa kesho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawakinga watu wangu na mambo yatakayowapata watu wako. Mambo hayo yatafanyika kesho.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitaweka tofauti kati ya watu wangu na watu wenu. Ishara hii ya ajabu itatokea kesho.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaweka tofauti kati ya watu wangu na watu wenu. Ishara hii ya ajabu itatokea kesho.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitatia mpaka kati ya watu wangu na watu wako; ishara hiyo italetwa kesho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawakinga watu wangu na mambo yatakayowapata watu wako. Mambo hayo yatafanyika kesho.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nitawatenga wao walio ukoo wangu nao walio wako; hiki kielekezo kitafanyika kesho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitatia mpaka kati ya watu wangu na watu wako; ishara hiyo italetwa kesho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tusafiri mwendo wa siku tatu katika jangwa tumutolee Yawe, Mungu wetu, sadaka kama vile atakavyotuamuru.”