Exodus 8:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lazima tusafiri mwendo wa siku tatu jangwani tukamtambikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kama atakavyotuamuru.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima twende mwendo wa siku tatu hadi tufike jangwani ili tumtolee Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, dhabihu, kama alivyotuagiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
La, tutakwenda safari ya siku tatu jangwani, tumchinjie dhabihu Bwana, Mungu wetu, kama atakavyotuagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lazima tusafiri mwendo wa siku tatu jangwani tukamtambikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kama atakavyotuamuru.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima twende mwendo wa siku tatu mpaka tufike jangwani ili tumtolee BWANA Mungu wetu dhabihu, kama alivyotuagiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima twende mwendo wa siku tatu mpaka tufike jangwani ili tumtolee bwana Mwenyezi Mungu wetu dhabihu, kama alivyotuagiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
La, tutakwenda safari ya siku tatu jangwani, tumchinjie dhabihu BWANA, Mungu wetu, kama atakavyotuagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lazima tusafiri mwendo wa siku tatu jangwani tukamtambikie Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kama atakavyotuamuru.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti twende nyikani safari ya siku tatu, tupate kumtambikia Bwana Mungu wetu, kama alivyotuambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
La, tutakwenda safari ya siku tatu jangwani, tumchinjie dhabihu BWANA, Mungu wetu, kama atakavyotuagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akafanya kama vile Musa alivyomwomba. Wale mainzi wakatoweka kutoka kwa mufalme wa Misri, wakubwa wake na watu wake, wala hakukubaki hata mumoja.