Exodus 8:30 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akamwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa akamwacha Farao na kumwomba Mwenyezi Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akatoka kwa Farao, akamwomba Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akamwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose akamwacha Farao na kumwomba BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa akamwacha Farao na kumwomba bwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akatoka kwa Farao, akamwomba BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akamwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipotoka kwake Farao, akamwomba Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akatoka kwa Farao, akamwomba BWANA.