Exodus 8:32 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hata safari hii Farao alikuwa mkaidi, wala hakuwaruhusu Waisraeli kuondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wakati huu pia Farao akaufanya moyo wake kuwa mgumu, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akaufanya moyo wake kuwa mzito mara hiyo nayo, wala hakuwapa ruhusa hao watu waende zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hata safari hii Farao alikuwa mkaidi, wala hakuwaruhusu Waisraeli kuondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakati huu pia Farao akaushupaza moyo wake, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wakati huu pia Farao akaushupaza moyo wake, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akaufanya moyo wake kuwa mzito mara hiyo nayo, wala hakuwapa ruhusa hao watu waende zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hata safari hii Farao alikuwa mkaidi, wala hakuwaruhusu Waisraeli kuondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Farao akaushupaza moyo wake nayo mara hii, hakuwapa hao watu ruhusa kwenda zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)