Exodus 8:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vyura watapanda juu ya mwili wako, miili ya watu wako na watumishi wenu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha hao vyura watakwea juu yako wewe, na juu ya watu wako, na juu ya watumishi wako wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vyura watapanda juu ya mwili wako, miili ya watu wako na watumishi wenu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha hao vyura watakwea juu yako wewe, na juu ya watu wako, na juu ya watumishi wako wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vyura watapanda juu ya mwili wako, miili ya watu wako na watumishi wenu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watapanda hao vyura namo mwilini mwako, namo miiilini mwa watu wako wote, namo miilini mwa watumishi wako wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha hao vyura watakwea juu yako wewe, na juu ya watu wako, na juu ya watumishi wako wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme wa Misri akamwita Musa na Haruni, akawaambia: “Musihi Yawe, kusudi aniondolee mimi na watu wangu vyura hawa, nami nitawaacha Waisraeli wajiendee na kutoa sadaka kwa Yawe.”