Exodus 9:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakachukua majivu kutoka kwenye tanuri, wakamwendea Farao, naye Mose akayarusha juu hewani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakachukua majivu kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. Musa akayarusha hewani, nayo majipu yenye kufura yakatokea kwenye miili ya watu na ya wanyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakatwaa majivu ya tanuuni, na kusimama mbele ya Farao; na Musa akayarusha juu mbinguni nayo yakawa ni majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakachukua majivu kutoka kwenye tanuri, wakamwendea Farao, naye Mose akayarusha juu hewani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakachukua majivu kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. Mose akayarusha hewani, nayo majipu yenye kufura yakatokea miilini mwa watu na wanyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakachukua majivu kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. Musa akayarusha hewani, nayo majipu yenye kufura yakatokea miilini mwa watu na wanyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakatwaa majivu ya tanuri, na kusimama mbele ya Farao; na Musa akayarusha juu mbinguni nayo yakawa ni majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakachukua majivu kutoka kwenye tanuri, wakamwendea Farao, naye Mose akayarusha juu hewani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipochukua majivu ya jikoni, wakaenda kusimama mbele ya Farao; ndipo, Mose alipoyasambaza juu angani, mara majipujipu ya ndui yakawatoka watu na nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakatwaa majivu ya tanuuni, na kusimama mbele ya Farao; na Musa akayarusha juu mbinguni nayo yakawa ni majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakatwaa majivu kutoka kwenye furu, wakamwendea mufalme wa Misri, naye Musa akayarusha juu katika hewa. Watu na nyama wakapatwa na majipu.