Exodus 9:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu na wanyama wakavamiwa na majipu hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza maana wao pamoja na Wamisri wote pia walivamiwa na majipu hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya majipu yaliyokuwa kwenye miili yao, na kwenye miili ya Wamisri wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wale waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya hayo majipu, kwa maana hao waganga walikuwa na majipu, na Wamisri wote walikuwa nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu na wanyama wakavamiwa na majipu hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza maana wao pamoja na Wamisri wote pia walivamiwa na majipu hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waganga hawakuweza kusimama mbele ya Mose kwa sababu ya majipu yale yaliyokuwa miilini mwao na juu ya miili ya Wamisri wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya majipu yale yaliyokuwa miilini mwao na juu ya miili ya Wamisri wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wale waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya hayo majipu, kwa maana hao waganga walikuwa na majipu, na Wamisri wote walikuwa nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu na wanyama wakavamiwa na majipu hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza maana wao pamoja na Wamisri wote pia walivamiwa na majipu hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale waganga hawakuweza kusimama mbele ya Mose kwa ajili ya hayo majipujipu, kwani hayo majipujibu yaliwapata wale waganga nao pamoja na Wamisri wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wale waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya hayo majipu, kwa maana hao waganga walikuwa na majipu, na Wamisri wote walikuwa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza, maana wao pamoja na Wamisri wote vilevile walipatwa na majipu hayo.