Exodus 9:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu akamfanya Farao kuwa mkaidi, naye hakuwasikiliza kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, naye hakuwasikiliza Musa na Haruni, kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amemwambia Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaufanya mgumu moyo wa Farao, asiwasikize; vile vile kama Bwana alivyomwambia Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamfanya Farao kuwa mkaidi, naye hakuwasikiliza kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, naye hakuwasikiliza Mose na Aroni, sawasawa kama vile BWANA alivyokuwa amemwambia Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, naye hakuwasikiliza Musa na Haruni, sawasawa kama vile bwana alivyokuwa amemwambia Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaufanya mgumu moyo wa Farao, asiwasikilize; vile vile kama BWANA alivyomwambia Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamfanya Farao kuwa mkaidi, naye hakuwasikiliza kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwambia Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana akaushupaza moyo wa Farao, asiwasikie, kama Bwana alivyomwambia Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaufanya mgumu moyo wa Farao, asiwasikize; vile vile kama BWANA alivyomwambia Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe akafanya moyo wa mufalme wa Misri kuwa mugumu, naye hakuwasikiliza kama vile Yawe alivyomwambia Musa.