Exodus 9:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningalikwisha kukuangamiza tayari wewe na watu wako kwa maradhi mabaya, nanyi mngalikuwa mmekwisha angamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa hadi sasa ningekuwa nimenyoosha mkono wangu na kukupiga wewe na watu wako kwa pigo ambalo lingekufutilia mbali juu ya nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa wakati huu ningekwisha kuunyosha mkono wangu, na kukupiga wewe na watu wako, kwa tauni, nawe ungekatiliwa mbali na kuondolewa katika nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningalikwisha kukuangamiza tayari wewe na watu wako kwa maradhi mabaya, nanyi mngalikuwa mmekwisha angamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa mpaka sasa ningelikuwa nimenyosha mkono wangu na kukupiga wewe na watu wako kwa pigo ambalo lingekufutilia mbali juu ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa mpaka sasa ningelikuwa nimenyoosha mkono wangu na kukupiga wewe na watu wako kwa pigo ambalo lingekufutilia mbali juu ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa wakati huu ningekwisha kuunyosha mkono wangu, na kukupiga wewe na watu wako, kwa tauni, nawe ungekatiliwa mbali na kuondolewa katika nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningalikwisha kukuangamiza tayari wewe na watu wako kwa maradhi mabaya, nanyi mngalikuwa mmekwisha angamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ningaliweza kuunyosha mkono wangu, ukupige wewe pamoja na watu wako kwa magonjwa yauayo, ukatoweka katika nchi hii;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa wakati huu ningekwisha kuunyosha mkono wangu, na kukupiga wewe na watu wako, kwa tauni, nawe ungekatiliwa mbali na kuondolewa katika nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningalikwisha kukuangamiza wewe na watu wako kwa ugonjwa mukali, nanyi mungalikuwa mumekwisha kuangamia.