Exodus 9:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nimewaacheni muishi ili kudhihirisha uwezo wangu. Kwa hiyo dunia yote itatambua kuwa mimi ni nani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nikuoneshe uwezo wangu, na jina langu litangazwe duniani kote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini, nilikusimamisha wewe kwa sababu hii hii, ili nikuonyeshe uweza wangu, tena kwamba jina langu litangazwe katika dunia yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nimewaacheni muishi ili kudhihirisha uwezo wangu. Kwa hiyo dunia yote itatambua kuwa mimi ni nani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nimekuacha wewe uwepo kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu na ili Jina langu lipate kutangazwa katika dunia yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini, nilikusimamisha wewe kwa sababu hii hii, ili nikuonyeshe uweza wangu, tena kwamba jina langu litangazwe katika dunia yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nimewaacheni muishi ili kudhihirisha uwezo wangu. Kwa hiyo dunia yote itatambua kuwa mimi ni nani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini nikikuweka, ni kwa sababu hiihii, nipate kukuonyesha nguvu zangu, Jina langu lipate kutangazwa katika nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini, nilikusimamisha wewe kwa sababu hii hii, ili nikuonyeshe uweza wangu, tena kwamba jina langu litangazwe katika dunia yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nimewaacha muishi kwa kuonyesha uwezo wangu. Kwa hiyo dunia yote itatambua kwamba mimi ni nani.