Exodus 9:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini bado unaonesha kiburi dhidi ya watu wangu, wala huwaachi waondoke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bado unaendelea kujiinua dhidi ya watu wangu, wala hutaki kuwaachia waende.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, je! Hata sasa wajitukuza juu ya watu wangu, usiwape ruhusa waende zao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini bado unaonesha kiburi dhidi ya watu wangu, wala huwaachi waondoke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bado unaendelea kujiinua juu ya watu wangu, wala hutaki kuwaachia waende.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bado unaendelea kujiinua juu ya watu wangu, wala hutaki kuwaachia waende.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, je! Hata sasa wajitukuza juu ya watu wangu, usiwape ruhusa waende zao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini bado unaonesha kiburi dhidi ya watu wangu, wala huwaachi waondoke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiendelea kuwapingia wao walio ukoo wangu, usiwape ruhusa kwenda zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, je! Hata sasa wajitukuza juu ya watu wangu, usiwape ruhusa waende zao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ungali unaonyesha kiburi juu ya watu wangu, wala hauwaachi waondoke.