Exodus 9:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ukikataa kuwaacha waondoke na ukiendelea kuwashikilia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usipowaachia waende, nawe ukiendelea kuwashikilia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani ukikataa kuwapa ruhusa waende, na kuzidi kuwazuia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ukikataa kuwaacha waondoke na ukiendelea kuwashikilia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukikataa kuwaachia waende, nawe ukiendelea kuwashikilia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukikataa kuwaachia waende, nawe ukiendelea kuwashikilia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani ukikataa kuwapa ruhusa waende, na kuzidi kuwazuia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ukikataa kuwaacha waondoke na ukiendelea kuwashikilia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utakapokataa kuwapa ruhusa na kuwashika tena,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani ukikataa kuwapa ruhusa waende, na kuzidi kuwazuia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ukikataa kuwaacha waondoke na ukiendelea kuwashikilia,