Exodus 9:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yule ambaye hakulijali neno la Mwenyezi-Mungu aliwaacha watumwa wake na wanyama wake mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wale waliopuuza neno la Mwenyezi Mungu wakawaacha watumwa wao na mifugo yao shambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na yeye asiyelitia moyoni neno la Bwana akawaacha watumishi wake na wanyama wake mashambani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yule ambaye hakulijali neno la Mwenyezi-Mungu aliwaacha watumwa wake na wanyama wake mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wale waliopuuza neno la BWANA wakawaacha watumwa wao na mifugo yao shambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wale waliopuuza neno la bwana wakawaacha watumwa wao na mifugo yao shambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na yeye asiyelitia moyoni neno la BWANA akawaacha watumishi wake na wanyama wake mashambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yule ambaye hakulijali neno la Mwenyezi-Mungu aliwaacha watumwa wake na wanyama wake mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wasioliweka hilo neno la Bwana mioyoni mwao wakawaacha watumwa wao na makundi yao mashambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na yeye asiyelitia moyoni neno la BWANA akawaacha watumishi wake na wanyama wake mashambani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule ambaye hakujali neno la Yawe aliwaacha watumwa wake na nyama wake katika mashamba.