Exodus 9:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mvua kubwa ya mawe iliyoandamana na mfululizo wa umeme, ambayo hakuna mwananchi yeyote wa Misri aliyepata kamwe kushuhudia kabla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mvua ya mawe ikanyesha, na radi ikamulika pote. Ikawa dhoruba ya kutisha zaidi, ambayo haijawahi kutokea katika Misri tangu nchi hiyo iwe taifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi palikuwa na mvua ya mawe, na moto uliochanganyikana na ile mvua ya mawe, nzito sana, ambayo mfano wake haukuwapo katika nchi yote ya Misri tangu ilipoanza kuwa taifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mvua kubwa ya mawe iliyoandamana na mfululizo wa umeme, ambayo hakuna mwananchi yeyote wa Misri aliyepata kamwe kushuhudia kabla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mvua ya mawe ikanyesha na radi ikamulika pote. Ikawa dhoruba ya kutisha ambayo haijakuwako katika nchi ya Misri, tangu nchi hiyo iwe taifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mvua ya mawe ikanyesha na radi ikamulika pote. Ikawa dhoruba ya kutisha ambayo haijakuwako katika nchi ya Misri, tangu nchi hiyo iwe taifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi palikuwa na mvua ya mawe, na moto uliochanganyikana na ile mvua ya mawe, nzito sana, ambayo mfano wake haukuwapo katika nchi yote ya Misri tangu ilipoanza kuwa taifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mvua kubwa ya mawe iliyoandamana na mfululizo wa umeme, ambayo hakuna mwananchi yeyote wa Misri aliyepata kamwe kushuhudia kabla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo mvua ya mawe iliponyesha, moto ulichanganyika nayo hiyo mvua ya mawe mazito sana isiyokuwa bado katika nchi yote ya Misri yenye nguvu kama hiyo tangu hapo, watu walipoanza kukaa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi palikuwa na mvua ya mawe, na moto uliochanganyikana na ile mvua ya mawe, nzito sana, ambayo mfano wake haukuwapo katika nchi yote ya Misri tangu ilipoanza kuwa taifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mvua kubwa ya mawe iliyofuatana na mufululizo wa umeme, ambayo hakuna mwanainchi yeyote wa Misri aliyepata hata kidogo kushuhudia mbele.