Exodus 9:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mvua hiyo ya mawe ilivunjavunja kila kitu katika mashamba na kila mahali nchini Misri: Wanyama na watu. Mawe ya mvua yakavunjavunja mimea yote na miti mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mvua ya mawe ikaharibu kila kitu katika nchi ya Misri kilichokuwa katika mashamba: watu na wanyama; ikaharibu kila kitu kilichoota mashambani na kung’oa kila mti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ile mvua ya mawe ikapiga kila kilichokuwako mashambani, binadamu na mnyama, katika nchi yote ya Misri; hiyo mvua ya mawe ikapiga kila mmea wa mashambani, na kuuvunja kila mti wa mashamba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mvua hiyo ya mawe ilivunjavunja kila kitu katika mashamba na kila mahali nchini Misri: wanyama na watu. Mawe ya mvua yakavunjavunja mimea yote na miti mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mvua ya mawe ikaharibu kila kitu katika nchi ya Misri kilichokuwa katika mashamba, watu na wanyama, ikaharibu kila kitu kinachoota mashambani na kuvunja kila mti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mvua ya mawe ikaharibu kila kitu katika nchi ya Misri kilichokuwa katika mashamba, watu na wanyama, ikaharibu kila kitu kinachoota mashambani na kuvunja kila mti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ile mvua ya mawe ikapiga kila kilichokuwako mashambani, binadamu na mnyama, katika nchi yote ya Misri; hiyo mvua ya mawe ikapiga kila mmea wa mashambani, na kuuvunja kila mti wa mashambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mvua hiyo ya mawe ilivunjavunja kila kitu katika mashamba na kila mahali nchini Misri: Wanyama na watu. Mawe ya mvua yakavunjavunja mimea yote na miti mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo mvua ya mawe ikapiga katika nchi yote ya Misri yote pia yaliyokuwako mashambani, watu na nyama, nayo majani ya mashambani ikayapiga hiyo mvua ya mawe, ikaivunja nayo miti yote ya mashambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ile mvua ya mawe ikapiga kila kilichokuwako mashambani, binadamu na mnyama, katika nchi yote ya Misri; hiyo mvua ya mawe ikapiga kila mmea wa mashambani, na kuuvunja kila mti wa mashamba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mvua hiyo ya mawe ilivunjavunja kila kitu katika mashamba na kila pahali katika inchi ya Misri, nyama na watu. Mawe ya mvua yakavunjavunja mimea yote na miti katika mashamba.