Exodus 9:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Farao akaagiza Mose na Aroni waitwe, akawaambia, “Safari hii nimetenda dhambi. Mwenyezi-Mungu ana haki; mimi na watu wangu tumekosa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni akawaambia, “Wakati huu nimetenda dhambi. Mwenyezi Mungu ni mwenye haki, mimi na watu wangu ni wakosaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akatuma watu, na kuwaita Musa na Haruni, na kuwaambia, Mimi nimekosa wakati huu; Bwana ni mwenye haki, na mimi na watu wangu tu waovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Farao akaagiza Mose na Aroni waitwe, akawaambia, “Safari hii nimetenda dhambi. Mwenyezi-Mungu ana haki; mimi na watu wangu tumekosa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Farao akawaita Mose na Aroni akawaambia, “Wakati huu nimetenda dhambi. BWANA ni mwenye haki, mimi na watu wangu ni wakosaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni akawaambia, “Wakati huu nimetenda dhambi. bwana ni mwenye haki, mimi na watu wangu ni wakosaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akatuma watu, na kuwaita Musa na Haruni, na kuwaambia, Mimi nimekosa wakati huu; BWANA ni mwenye haki, na mimi na watu wangu tu waovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Farao akaagiza Mose na Aroni waitwe, akawaambia, “Safari hii nimetenda dhambi. Mwenyezi-Mungu ana haki; mimi na watu wangu tumekosa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Farao alipotuma watu kumwita Mose na Haroni, akawaambia: Mara hii nimekosa; kwani Bwana ni mwongofu, lakini mimi na watu wangu tu wapotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akatuma watu, na kuwaita Musa na Haruni, na kuwaambia, Mimi nimekosa wakati huu; BWANA ni mwenye haki, na mimi na watu wangu tu waovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mufalme wa Misri akaagiza Musa na Haruni waitwe, akawaambia: “Mara hii nimetenda zambi. Yawe ana haki na mimi na watu wangu tumekosa.