Exodus 9:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini najua kwamba wewe na maofisa wako bado hammwogopi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninajua kuwa wewe na maafisa wako bado hammwogopi Bwana Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, wewe na watumishi wako, najua ya kuwa ninyi hamtamcha Bwana Mungu bado.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini najua kwamba wewe na maofisa wako bado hammwogopi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninajua kuwa wewe na maafisa wako bado hamumwogopi BWANA Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninajua kuwa wewe na maafisa wako bado hammwogopi bwana Mwenyezi Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, wewe na watumishi wako, najua ya kuwa ninyi hamtamcha BWANA Mungu bado.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini najua kwamba wewe na maofisa wako bado hammwogopi Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninakujua wewe nao watumishi wako, ya kama hamjapata kumwogopa Bwana Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, wewe na watumishi wako, najua ya kuwa ninyi hamtamcha BWANA Mungu bado.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninajua kwamba wewe na wakubwa wako mungali hamumwogopi Yawe Mungu.”