Exodus 9:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kitani na mimea ya shayiri vyote vilikuwa vimeharibiwa, kwa sababu shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa imechanua maua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Kitani na shayiri viliharibiwa, kwa kuwa shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa imechanua maua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kitani na shayiri zilipigwa; maana shayiri zilikuwa na masuke na kitani zilikuwa katika kutoa maua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Kitani na mimea ya shayiri vyote vilikuwa vimeharibiwa, kwa sababu shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa imechanua maua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kitani na shayiri viliharibiwa, kwa kuwa shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa katika kutoa maua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Kitani na shayiri viliharibiwa, kwa kuwa shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa katika kutoa maua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kitani na shayiri zilipigwa; maana shayiri zilikuwa na masuke na kitani zilikuwa katika kutoa maua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Kitani na mimea ya shayiri vyote vilikuwa vimeharibiwa, kwa sababu shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa imechanua maua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, mipamba na miwele ilivyopigwa, kwani miwele ilikuwa imekwisha kuchanua, nayo mipamba ilikuwa imekwisha kuzaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kitani na shayiri zilipigwa; maana shayiri zilikuwa na masuke na kitani zilikuwa katika kutoa maua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Kitani na mimea ya shayiri vyote vilikuwa vimeharibiwa, kwa sababu shayiri ilikuwa na masuke na kitani ilikuwa imechanua maua.