Exodus 9:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ngano na jamii nyingine ya ngano havikuharibiwa kwa kuwa hiyo huchelewa kukomaa).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, ngano na kusemethi hazikuharibiwa kwa sababu zilikuwa hazijakomaa.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ngano na kusemethu hazikupigwa; maana, zilikuwa hazijakua bado.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ngano na jamii nyingine ya ngano havikuharibiwa kwa kuwa hiyo huchelewa kukomaa).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, ngano na jamii nyingine ya ngano hazikuharibiwa kwa sababu zilikuwa hazijakomaa bado.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, ngano na jamii nyingine ya ngano hazikuharibiwa kwa sababu zilikuwa hazijakomaa bado.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ngano na kusemethi hazikupigwa; maana, zilikuwa hazijakua bado.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ngano na jamii nyingine ya ngano havikuharibiwa kwa kuwa hiyo huchelewa kukomaa).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ngano na mtama hazikupigwa, kwa kuwa zilikuwa hazijaota bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ngano na kusemethu hazikupigwa; maana, zilikuwa hazijakua bado.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ngano na jamii nyingine ya ngano havikuharibiwa kwa sababu hiyo inachelewa kukomaa).