Exodus 9:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kama Mwenyezi-Mungu alivyombashiria Mose, Farao alikaidi akakataa kuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, moyo wa Farao ukawa mgumu, wala hakuwaachia Waisraeli waende, kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema kupitia Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wa Farao ukawa ni mgumu naye hakuwapa wana wa Israeli ruhusa waende zao; kama Bwana alivyonena kwa kinywa cha Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kama Mwenyezi-Mungu alivyombashiria Mose, Farao alikaidi akakataa kuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo moyo wa Farao ukawa mgumu, wala hakuwaachia Waisraeli waende, kama vile BWANA alivyokuwa amesema kupitia Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo moyo wa Farao ukawa mgumu, wala hakuwaachia Waisraeli waende, kama vile bwana alivyokuwa amesema kupitia Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wa Farao ukawa ni mgumu naye hakuwapa wana wa Israeli ruhusa waende zao; kama BWANA alivyonena kwa kinywa cha Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kama Mwenyezi-Mungu alivyombashiria Mose, Farao alikaidi akakataa kuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wake Farao ukawa mgumu, asiwape wana wa Isiraeli ruhusa kwenda zao, kama Bwana alivyosema kinywani mwa Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wa Farao ukawa ni mgumu naye hakuwapa wana wa Israeli ruhusa waende zao; kama BWANA alivyonena kwa kinywa cha Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kama vile Yawe alivyomwambia Musa, moyo wa mufalme wa Misri ulikuwa mugumu, yeye na wakubwa wake, akakataa kuwaruhusu Waisraeli waondoke.