Exodus 9:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, nitaitenganisha mifugo ya Waisraeli na mifugo ya Wamisri ili mnyama hata mmoja wa Waisraeli asife.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu ataweka tofauti kati ya mifugo ya Israeli na ile ya Misri, kwamba hakuna mnyama wa Mwisraeli atakayekufa.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Bwana atawatenga wanyama wa Israeli na wanyama wa Misri; wala hakitakufa kitu cho chote cha wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, nitaitenganisha mifugo ya Waisraeli na mifugo ya Wamisri ili mnyama hata mmoja wa Waisraeli asife.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA ataweka tofauti kati ya mifugo ya Israeli na ile ya Misri, kwamba hakuna mnyama wa Mwisraeli atakayekufa.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana ataweka tofauti kati ya mifugo ya Israeli na ile ya Misri, kwamba hakuna mnyama wa Mwisraeli atakayekufa.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha BWANA atawatenga wanyama wa Israeli na wanyama wa Misri; wala hakitakufa kitu chochote cha wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, nitaitenganisha mifugo ya Waisraeli na mifugo ya Wamisri ili mnyama hata mmoja wa Waisraeli asife.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Bwana atayapambanua makundi ya Waisiraeli nayo makundi ya Wamisri, nao nyama wote pia walio wao Waisiraeli hatakufa hata mmoja wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha BWANA atawatenga wanyama wa Israeli na wanyama wa Misri; wala hakitakufa kitu cho chote cha wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na nitaitenganisha mifugo ya Waisraeli na mifugo ya Wamisri kusudi nyama hata mumoja wa Waisraeli asikufe.’ ”