Exodus 9:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, Mwenyezi-Mungu akaweka wakati maalumu akisema, “Kesho mimi Mwenyezi-Mungu nitatekeleza jambo hilo nchini Misri.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akaweka wakati na kusema, “Kesho Mwenyezi Mungu atalitenda hili katika nchi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana akaweka muda, akasema, Kesho Bwana atalifanya jambo hili katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, Mwenyezi-Mungu akaweka wakati maalumu akisema, “Kesho mimi Mwenyezi-Mungu nitatekeleza jambo hilo nchini Misri.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akaweka wakati na kusema, “Kesho BWANA atalitenda hili katika nchi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akaweka wakati na kusema, “Kesho bwana atalitenda hili katika nchi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA akaweka muda, akasema, Kesho BWANA atalifanya jambo hili katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, Mwenyezi-Mungu akaweka wakati maalumu akisema, “Kesho mimi Mwenyezi-Mungu nitatekeleza jambo hilo nchini Misri.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akaweka muda kwamba: Kesho Bwana atalifanya jambo hilo katika nchi hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA akaweka muda, akasema, Kesho BWANA atalifanya jambo hili katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, Yawe akaweka wakati akisema: “Kesho mimi Yawe nitatimiza jambo hilo katika inchi ya Misri.”