Exodus 9:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, “Chukueni kila mmoja wenu magao ya majivu ya tanuri, kisha Mose ayarushe juu hewani mbele ya Farao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni, “Chukueni majivu ya tanuru, naye Musa ayarushe angani mbele ya Farao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akawaambia Musa na Haruni, Jitwalieni konzi za majivu ya tanuuni, kisha Musa na ayarushe juu kuelekea mbinguni mbele ya Farao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, “Chukueni kila mmoja wenu magao ya majivu ya tanuri, kisha Mose ayarushe juu hewani mbele ya Farao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha BWANA akamwambia Mose na Aroni, “Chukueni majivu ya tanuru, naye Mose ayarushe angani mbele ya Farao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha bwana akamwambia Musa na Haruni, “Chukueni majivu ya tanuru, naye Musa ayarushe angani mbele ya Farao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akawaambia Musa na Haruni, Jitwalieni konzi za majivu ya tanuri, kisha Musa ayarushe juu kuelekea mbinguni mbele ya Farao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, “Chukueni kila mmoja wenu magao ya majivu ya tanuri, kisha Mose ayarushe juu hewani mbele ya Farao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose na Haroni: Jichukulieni majivu ya jikoni ya kuyajaza magao yenu! Kisha Mose ayasambaze juu angani machoni pake Farao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akawaambia Musa na Haruni, Jitwalieni konzi za majivu ya tanuuni, kisha Musa na ayarushe juu kuelekea mbinguni mbele ya Farao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia Musa na Haruni: “Mutwae kila mumoja wenu vitanga vya majivu ya furu, kisha Musa ayarushe juu katika hewa mbele ya mufalme wa Misri.