Ezekiel 1:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Viumbe hao pia walikwenda huku na huko kama pigo la umeme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale viumbe walipiga mbio kwenda na kurudi, kama miali ya radi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vile viumbe hai walipiga mbio, kwenda na kurudi, kama kuonekana kwa kumulika kwa umeme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Viumbe hao pia walikwenda huku na huko kama pigo la umeme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vile viumbe vilipiga mbio kwenda na kurudi, kama vimulimuli vya umeme wa radi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vile viumbe vilipiga mbio kwenda na kurudi, kama vimulimuli vya umeme wa radi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale viumbe hai walipiga mbio, kwenda na kurudi, kama kuonekana kwa kumulika kwa umeme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Viumbe hao pia walikwenda huku na huko kama pigo la umeme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hao nyama wakapiga mbio kwenda na kurudi, vikaonekana kuwa kama umeme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vile viumbe hai walipiga mbio, kwenda na kurudi, kama kuonekana kwa kumulika kwa umeme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viumbe vile vilikwenda na kurudia mbio kama vile umeme unavyoonekana.