Ezekiel 1:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Magurudumu yalipoenda, yalielekea upande mmoja wa pande nne walikoelekea wale viumbe; wale viumbe walipoenda, magurudumu hayakugeuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yalipokwenda yalikwenda pande zote nne; hayakugeuka yalipokwenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yalipokwenda yalielekea upande wo wote wa pande nne walipoelekea wale viumbe, magurudumu hayakuzunguka wakati viumbe vile vilipokwenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yalipokwenda yalielekea upande wowote wa pande nne walipoelekea wale viumbe, magurudumu hayakuzunguka wakati viumbe vile vilipokwenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yalipokwenda yalikwenda pande zote nne; hayakugeuka yalipokwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yaliposogea yalikwenda upande wowote wa pande nne za dira ya dunia bila kugeuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yalipokwenda yalikwenda panda zote nne pasipo kugeuka katika mwendo wao wa kwenda mbele tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yalipokwenda yalikwenda pande zote nne; hayakugeuka yalipokwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yalipotembea yalikwenda kwa pande zote ine pasipo kugeuka yanapokwenda.