Ezekiel 1:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mizingo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu kutisha na mizingo ya magurudumu hayo ilikuwa imejaa macho pande zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kingo za magurudumu zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha, nazo zote nne zilijawa na macho pande zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika habari za vivimbe vyake; vilikuwa virefu, vya kutisha; nayo yote manne, vivimbe vyake vimejaa macho pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mizingo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu kutisha na mizingo ya magurudumu hayo ilikuwa imejaa macho pande zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kingo zake zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha, nazo zote nne zilijawa na macho pande zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kingo zake zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha, nazo zote nne zilijawa na macho pande zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika habari za vivimbe vyake; vilikuwa virefu, vya kutisha; nayo yote manne, vivimbe vyake vimejaa macho pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mizingo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu kutisha na mizingo ya magurudumu hayo ilikuwa imejaa macho pande zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vikuku vyao vilikuwa virefu mno vya kuogopesha; tena hivi vikuku vilijaa macho po pote kwao yote manne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika habari za vivimbe vyake; vilikuwa virefu, vya kutisha; nayo yote manne, vivimbe vyake vimejaa macho pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miviringo ya hayo magurudumu ilikuwa mirefu na ya kuogopesha nayo ilikuwa inajaa macho pande zote.