Ezekiel 1:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao viumbe hai walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kandokando yao; na viumbe hao walipoinuka juu kutoka ardhini, magurudumu hayo yaliinuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale viumbe hai walipoenda, magurudumu yaliyokuwa kando yao yalisogea; wakati hao viumbe hai walipoinuka kutoka ardhini, magurudumu nayo yaliinuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na viumbe hao walipokwenda, magurudumu yalikwenda kandokando yao, na viumbe hao walipoinuliwa, magurudumu nayo yaliinuliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao viumbe hai walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kandokando yao; na viumbe hao walipoinuka juu kutoka ardhini, magurudumu hayo yaliinuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vile viumbe hai vilipokwenda, magurudumu yaliyokuwa kando yao yalisogea na wakati hivyo viumbe hai vilipoinuka kutoka ardhini magurudumu nayo yaliinuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vile viumbe hai vilipokwenda, magurudumu yaliyokuwa kando yao yalisogea na wakati hivyo viumbe hai vilipoinuka kutoka ardhini magurudumu nayo yaliinuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na viumbe hao walipokwenda, magurudumu yalikwenda kandokando yao, na viumbe hao walipoinuliwa, magurudumu nayo yaliinuliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao viumbe hai walipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kandokando yao; na viumbe hao walipoinuka juu kutoka ardhini, magurudumu hayo yaliinuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale nyama walipokwenda, hayo magurudumu yalikwenda nayo kando; tena hao nyama walipochukuliwa juu kutoka katika nchi, hayo magurudumu yakachukuliwa juu nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na viumbe hao walipokwenda, magurudumu yalikwenda kandokando yao, na viumbe hao walipoinuliwa, magurudumu nayo yaliinuliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vile viumbe vilipokwenda, magurudumu nayo yalikwenda kandokando yao; na viumbe vile viliponyanyuka juu kutoka kwenye udongo, magurudumu hayo yaliinuka.