Ezekiel 1:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku hiyo ya tano ya mwezi (ulikuwa mwaka wa tano baada ya mfalme Yehoyakini kupelekwa uhamishoni Babuloni),
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya tano ya mwezi, mwaka wa tano wa kuhamishwa kwa Mfalme Yehoyakini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya tano ya mwezi, nao ulikuwa ni mwaka wa tano wa kuhamishwa kwake mfalme Yehoyakini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku hiyo ya tano ya mwezi (ulikuwa mwaka wa tano baada ya mfalme Yehoyakini kupelekwa uhamishoni Babuloni),
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya tano ya mwezi, ilikuwa mwaka wa tano wa kuhamishwa kwa Mfalme Yehayakini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya tano ya mwezi, ilikuwa mwaka wa tano wa kuhamishwa kwa Mfalme Yehoyakini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya tano ya mwezi, nao ulikuwa ni mwaka wa tano wa kuhamishwa kwake mfalme Yehoyakini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika siku hiyo ya tano ya mwezi (ulikuwa mwaka wa tano baada ya mfalme Yehoyakini kupelekwa uhamishoni Babuloni),
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ya tano ya mwezi huo ilikuwa ya mwaka wa tano wa kuhamishwa kwake mfalme Yoyakini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya tano ya mwezi, nao ulikuwa ni mwaka wa tano wa kuhamishwa kwake mfalme Yehoyakini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya tano ya mwezi (ulikuwa mwaka wa tano tangu mufalme Yoyakinu alipopelekwa katika uhamisho katika Babeli),