Ezekiel 1:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Popote roho ilipokwenda walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja nao; maana roho ya hao viumbe hai ilikuwa katika magurudumu hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Popote roho alipoenda, wale viumbe nao walienda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja nao, kwa sababu roho ya wale viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mahali ambako roho hiyo ilitaka kwenda, walikwenda; walikuwa na roho ya kwenda huko; nayo magurudumu yaliinuliwa karibu nao; kwa maana roho ya viumbe hai ilikuwa ndani ya magurudumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Popote roho ilipokwenda walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja nao; maana roho ya hao viumbe hai ilikuwa katika magurudumu hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mahali po pote roho alipokwenda wale viumbe nao walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja navyo, kwa sababu roho ya vile viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mahali popote roho alipokwenda wale viumbe nao walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja navyo, kwa sababu roho ya vile viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mahali ambako roho hiyo ilitaka kwenda, walikwenda; walikuwa na roho ya kwenda huko; nayo magurudumu yaliinuliwa karibu nao; kwa maana roho ya viumbe hai ilikuwa ndani ya magurudumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Popote roho ilipokwenda walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja nao; maana roho ya hao viumbe hai ilikuwa katika magurudumu hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho zao hao zilikotaka kwenda, ndiko, walikokwenda; roho zao zilipotaka kwenda huko, nayo magurudumu yalichukuliwa kwenda pamoja nao, kwani roho za hao nyama zilikuwa namo katika magurudumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mahali ambako roho hiyo ilitaka kwenda, walikwenda; walikuwa na roho ya kwenda huko; nayo magurudumu yaliinuliwa karibu nao; kwa maana roho ya viumbe hai ilikuwa ndani ya magurudumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Popote roho alipokwenda vilikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja navyo; maana roho ya hivyo viumbe ilikuwa katika magurudumu hayo.