Ezekiel 1:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya vichwa vya hao viumbe hai kulikuwa na kitu mfano wa anga, kinangaa kama kioo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya vichwa vya hao viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa eneo lililokuwa wazi, lililokuwa angavu kabisa na la kutisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena juu ya vichwa vya viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa anga, kama rangi ya bilauri, lenye kutisha, limetandwa juu ya vichwa vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya vichwa vya hao viumbe hai kulikuwa na kitu mfano wa anga, kinang'aa kama kioo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya vichwa vya hao viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa eneo lililokuwa wazi, lililokuwa angavu kabisa na lenye kutisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya vichwa vya hao viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa eneo lililokuwa wazi, lililokuwa angavu kabisa na lenye kutisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena juu ya vichwa vya viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa anga, kama rangi ya bilauri, lenye kutisha, limetandwa juu ya vichwa vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya vichwa vya hao viumbe hai kulikuwa na kitu mfano wa anga, kinangaa kama kioo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Juu ya vichwa vyao hao nyama kulikuwako lililofanana na ukingo, mfano wake ulikuwa kama ulanga uangazikao vizuri mno, mtu aogope kuutazama, nao ulikuwa umetandwa juu penye vichwa vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena juu ya vichwa vya viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa anga, kama rangi ya bilauri, lenye kutisha, limetandwa juu ya vichwa vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya vichwa vya vile viumbe kulikuwa kitu kinachofanana na anga, kinangaa kama kioo.