Ezekiel 1:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chini ya kitu hicho walisimama hao viumbe hai; mabawa mawili ya hao viumbe yalikuwa yamekunjuliwa kuelekeana, na kwa mabawa mengine mawili walifunika miili yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chini ya hiyo nafasi, mabawa yao yalitanda moja kuelekea lingine, na kila mmoja alikuwa na mabawa mawili yaliyofunika mwili wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na chini ya anga mabawa yao yamenyoshwa, moja kulielekea la pili; kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande mmoja, na kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande wa pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chini ya kitu hicho walisimama hao viumbe hai; mabawa mawili ya hao viumbe yalikuwa yamekunjuliwa kuelekeana, na kwa mabawa mengine mawili walifunika miili yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chini ya hiyo nafasi mabawa yao yalitanda moja kuelekea jingine, kila mmoja alikuwa na mabawa mengine mawili yaliyofunika mwili wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chini ya hiyo nafasi mabawa yao yalitanda moja kuelekea jingine, kila mmoja alikuwa na mabawa mengine mawili yaliyofunika mwili wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na chini ya anga mabawa yao yamenyoshwa, moja kulielekea la pili; kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande mmoja, na kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande wa pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chini ya kitu hicho walisimama hao viumbe hai; mabawa mawili ya hao viumbe yalikuwa yamekunjuliwa kuelekeana, na kwa mabawa mengine mawili walifunika miili yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chini ya huo ukingo mabawa yao yalikuwa yamenyoka, kila moja kikielekea lenziwe, kila nyama mmoja mabawa mawili yalikuwa ya kujifunikia juu, tena mabawa mawili yalikuwa ya kujifunikia miili yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na chini ya anga mabawa yao yamenyoshwa, moja kulielekea la pili; kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande mmoja, na kila mmoja alikuwa na mawili yaliyowafunika miili yao upande wa pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Viumbe vile vilisimama chini ya kitu hicho; mabawa mawili ya vile viumbe yalikuwa yamekunjuliwa, moja likielekea lingine, na kwa mabawa mengine mawili vilifunika miili yao.