Ezekiel 1:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilisikia sauti kutoka juu ya kitu kile kama anga kilichokuwa juu ya vichwa vyao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao, waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena palikuwa na sauti juu ya anga lile, lililokuwa juu ya vichwa vyao; hapo waliposimama walishusha mabawa yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilisikia sauti kutoka juu ya kitu kile kama anga kilichokuwa juu ya vichwa vyao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao, wakati waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao, waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena palikuwa na sauti juu ya anga lile, lililokuwa juu ya vichwa vyao; hapo waliposimama walishusha mabawa yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilisikia sauti kutoka juu ya kitu kile kama anga kilichokuwa juu ya vichwa vyao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha waliposimama na kuyalegeza mabawa yao, kulikuwa na uvumi huko kwenye ukingo uliokuwa juu ya vichwa vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena palikuwa na sauti juu ya anga lile, lililokuwa juu ya vichwa vyao; hapo waliposimama walishusha mabawa yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilisikia sauti kutoka juu ya kitu kile kinachokuwa kama anga kilichokuwa juu ya vichwa vyao.