Ezekiel 1:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao katika pande zao nne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu. Wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walikuwa na mikono ya mwanadamu chini ya mabawa yao, pande zote nne; na wote wanne walikuwa na nyuso zao na mabawa yao hivi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao katika pande zao nne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu. Wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu. Wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walikuwa na mikono ya mwanadamu chini ya mabawa yao, pande zote nne; na wote wanne walikuwa na nyuso zao na mabawa yao hivi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao katika pande zao nne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chini ya mabawa yao kulikuwa na mikono ya kimtu pande zote nne. Nyuso zao na mabawa yao hao wanne yalikuwa hivyo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walikuwa na mikono ya mwanadamu chini ya mabawa yao, pande zote nne; na wote wanne walikuwa na nyuso zao na mabawa yao hivi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chini ya mabawa yao, kulikuwa mikono inayokuwa sawa ya mutu. Mikono hiyo ilikuwa inaelekea kwenye pande zote ine pamoja na nyuso zao na mabawa yao.