Ezekiel 1:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ncha za mabawa yao ziligusana kila bawa na bawa lingine. Waliposogea, upande wowote ule, walikwenda mbele moja kwa moja bila kugeuza miili yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nayo mabawa yao yaligusana. Kila mmoja alienda kuelekea mbele moja kwa moja; hawakugeuka walipotembea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mabawa yao yaliungana, hili na hili; nao hawakugeuka walipokwenda, walikwenda kila mmoja kuelekea mbele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ncha za mabawa yao ziligusana kila bawa na bawa lingine. Waliposogea, upande wowote ule, walikwenda mbele moja kwa moja bila kugeuza miili yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nayo mabawa yao yaligusana. Kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja, hawakugeuka walipokuwa wanatembea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nayo mabawa yao yaligusana. Kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja, hawakugeuka walipokuwa wanatembea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mabawa yao yaliungana, hili na hili; nao hawakugeuka walipokwenda, walikwenda kila mmoja kuelekea mbele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ncha za mabawa yao ziligusana kila bawa na bawa lingine. Waliposogea, upande wowote ule, walikwenda mbele moja kwa moja bila kugeuza miili yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mabawa yao yalikuwa yanashikana kila moja na bawa lenziwe; nao walipokwenda hawakuzigeuza nyuso zao, ila kila mmoja alikwenda na kufuata hapo, uso wake ulipoelekea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mabawa yao yaliungana, hili na hili; nao hawakugeuka walipokwenda, walikwenda kila mmoja kuelekea mbele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Incha za mabawa yao ziligusana kila bawa na bawa lingine. Vilipotembea, vilikwenda mbele moja kwa moja pasipo kugeuka.